• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kupanua uwekezaji wenye ufanisi

  (GMT+08:00) 2020-05-22 10:34:17

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema mwaka huu serikali ya China itapanua uwekezaji wenye ufanisi. Itaweka mkazo mkubwa zaidi katika kuunga mkono ujenzi wa miundo mbinu ya aina mpya, kupanua matumizi ya teknolojia ya 5G, kuimarisha ujenzi wa miji na vijiji vya aina mpya, kuboresha zana za umma na uwezo wa utoaji wa huduma wilayani, na kuimarisha ujenzi wa miradi muhimu ya mawasiliano na uhifadhi wa maji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako