• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuimarisha ujenzi wa utaratibu wa afya ya umma

  (GMT+08:00) 2020-05-22 10:37:24

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema, China itaimarisha ujenzi wa utaratibu wa afya ya umma. China itashikilia msimamo wa kutilia mkazo katika maisha, kufanya mageuzi ya mfumo wa kukinga na kudhibiti magonjwa, kuboresha mfumo wa utoaji wa tahadhari na taarifa kuhusu magonjwa ya kuambukiza, kuendelea kutoa habari kwa uwazi kuhusu maambukizi. Pia itaendelea kuwekeza zaidi katika utafiti wa chanjo, dawa na teknolojia ya upimaji wa kasi, na kuimarisha vifaa vya kukabiliana na hali ya dharura.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako