• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kulinda mfumo wa kimataifa wenye kiini cha Umoja wa Mataifa

  (GMT+08:00) 2020-05-22 10:50:51

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema, China italinda mfumo wa kimataifa ambao Umoja wa Mataifa ni kiini chake na utaratibu wa kimataifa wenye sheria ya kimataifa, ili kuhimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye mustakbali wa pamoja. Amesema China itashikilia kuchukua njia ya kujiendeleza kwa amani, na kuimarisha ushirikiano wa kirafiki na nchi mbalimbali wakati wa kupanua ufunguaji mlango. Amesema China siku zote ni nguvu muhimu ya kuhimiza amani, utulivu na ustawi wa maendeleo duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako