• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kutoa dhamana maalumu za serikali zenye thamani ya dola bilioni 140.6 za kimarekani kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona

  (GMT+08:00) 2020-05-22 11:02:11

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo amesema China mwaka huu itaendelea kutekeleza sera chochezi za kifedha na sera tulivu za sarafu.

  Ameongeza kuwa sera tulivu za sarafu zinapaswa kutekelezwa kwa njia mwafaka yenye nyumbufu, na kuifanya idadi ya utoaji wa sarafu na mfumo wa ukusanyaji fedha wa jamii iongezeke kwa kasi kuliko mwaka jana. Amesisitiza tena kuwa China itadumisha kiwango chake cha ubadilishanaji wa fedha kuwa tulivu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako