• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuhakikisha watu wote maskini wanaondokana na umaskini

  (GMT+08:00) 2020-05-22 12:23:28

  Ripoti ya kazi ya serikali imesisitiza kwamba China itahakikisha kuwaondoa watu wote kutoka kwenye umasikini, kuongeza juhudi za kuvisaidia wilaya na vijiji maskini vilivyobaki, na kusaidia viwanda vya kupambana na umasikini kurejesha maendeleo, kuendelea kuimarisha uratibu kati ya kazi ya kuondoa umasikini na kuleta ustawi wa vijiji, na kujitahidi kuwafanya watu walioondokana na umaskini wawe na utajiri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako