• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Coastal yasema Mwamnyeto hayuko sokoni

  (GMT+08:00) 2020-05-22 16:16:38

  Timu ya Coastal Union nchini Tanzania imesisitiza kuwa Bakari Mwamnyeto bado ni mchezaji wao na ana mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu hiyo. Mwenyekiti wa timu hiyo Steven Mguto amekanusha taarifa kuwa Simba na Yanga zimeanza mazungumzo na mchezaji huyo, na kusema Mwamnyeto hayuko sokono kwa kuuzwa, na hakuna timu iliyofika katika klabu hiyo kuonesha nia ya kutaka kumsajili. Alisema kama kuna timu inamuhitaji, ni vema ikaenda kufanya mazungumzo na uongozi, na kama mchezaji atakuwa tayari, wanaweza wakafanya majadiliano ya kumuuza mchezaji huyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako