• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ndege iliyokuwa na abiria zaidi ya 100 yaanguka nchini Pakistan

  (GMT+08:00) 2020-05-22 18:52:28

  Ndege ya Shirika la Kimataifa la Ndege la Pakistan (PIA) iliyokuwa na abiria zaidi ya 100 imeanguka leo mchana katika mji wa bandari wa Karachi ulioko kusini mwa Pakistani.

  Vyombo vya Habari nchini humo vimeripoti kuwa, ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Lahore ilianguka katika eneo la Bustani ya Jinnah mjini Karachi.

  Hata hivyo, hakuna taarifa zilizotolewa kuhusu tukio hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako