• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi asema China haijali hasara kubwa namna gani inayopata ili kulinda maisha ya wananchi

  (GMT+08:00) 2020-05-22 20:21:49

  Rais Xi Jinping wa China amesema nchi yake haijali hasara kubwa namna gani inayopata katika kulinda maisha, usalama na afya ya watu wake.

  Rais Xi ameyasema hayo leo aliposhiriki kwenye majadiliano ya wajumbe wa Bunge la 13 la Umma la China NPC kutoka Mkoa Unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani. Amesema msingi wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC ni watu, hivyo wazo la kutoa kipaumbele kwa wananchi halitabadilika daima bila kujali kuna changamoto na shinikizo gani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako