• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bunge la China lapitisha mswada wa sheria ya mambo ya kiraia

  (GMT+08:00) 2020-05-24 17:13:07

  Mswada wa sheria ya mambo ya kiraia unapitishwa na bungle la China kwenye mkutano wake wa mwaka ulioanzia siku ya Ijumaa.

  Sheria hiyo yenye vifungu 1260 ni majumuisho ya sheria na taratibu mbalimbali zinazohusu mambo ya kiraia, na inahusu haki za kila raia wa China. Ndiyo maana inafuatiliwa sana na jamii ya watu wa China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako