• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China haina lengo la kisiasa katika kutoa msaada wa kukabiliana na COVID-19

  (GMT+08:00) 2020-05-24 19:41:03

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi amesema, sababu ya China kusaidia nchi nyingine katika juhudi za kukabiliana na COVID-19 ni kwamba Wachina ni watu wanaojua kutoa shukrani na wanaopenda kuwasaidia marafiki.

  Akijibu swali husika Bw Wang amesema, inafahamika kuwa nia ya China inatafsiriwa vibaya na kupotoshwa na baadhi ya nguvu za kisiasa, lakini China inafanya shughuli zake kwa uwazi na haki, kwamba haina lengo la kisiasa wala msaada haujatolewa kwa sharti la kisiasa. Amesisitiza kuwa, China ina lengo moja tu, yaani kuokoa maisha ya watu kadiri inavyoweza, kwani nchi moja tu kufanikiwa kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona si mwisho wa maambukizi, bali mafanikio ya nchi zote ndiyo ushindi wa kweli.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako