• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Xi Jinping ashiriki mjadala wa wabunge kutoka mkoa wa Hubei

  (GMT+08:00) 2020-05-24 21:04:25

  Rais Xi Jinping wa China leo ameshiriki kwenye mjadala wa wabunge wa mkoa wa Hubei kwenye mkutano wa Bunge la Umma la China.

  Hubei ni mkoa wa kwanza nchini China ulioripoti kukumbwa na janga la virusi vya Corona, na ulipata ushindi kwenye vita hiyo ndani ya miezi mitatu, na China imefanikiwa kudhibiti kusambaa kwa virusi vya Corona.

  Rais Xi alitembelea Wuhan, mji mkuu wa mkoa wa Hubei mwanzoni mwa mwezi Machi, kipindi ambacho kilikuwa muhimu zaidi katika kukinga na kudhibiti virusi vya Corona mjini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako