• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchimbaji wa mashimo kwa ajili ya ujenzi wa handaki la reli ya mwendo kasi chini ya bahari wakamilika mkoani Zhejiang

    (GMT+08:00) 2020-05-25 09:15:42

    Uchimbaji wa mashimo kwa ajili ya ujenzi wa handaki la reli ya mwendo kasi chini ya bahari, ambalo ni la kwanza la aina yake nchini China, umekamilika mkoani Zhejiang, mashariki mwa China.

    Handaki hilo la chini ya bahari lenye urefu wa kilomita 16.2 ni sehemu muhimu ya reli ya mwendo kasi yenye urefu wa kilomita 77 inayounganisha visiwa vya Zhoushan na mji wa Ningbo mkoani humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako