• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: West Ham yaongea na mashabiki wake kutengeza mazingira ya shangwe uwanjani

    (GMT+08:00) 2020-05-26 08:27:25

    Klabu ya West Ham United ya Uingereza ipo kwenye mazungumzo na mashabiki wake kuona namna ya kutengeneza mazingira uwanjani wakati wa mechi zao za kumalizia msimu 2019/20 zitakazochezwa bila mashabiki. West Ham wanataka mashabiki wao wawe wanaonekana wakishangilia mechi uwanjani kupitia Live Video Chat (Zoom Software) ambayo itaongeza hamasa za kelele za mashabiki uwanjani lakini wakitokea nyumbani. Vilabu mbalimbali duniani vinatarajia kutafuta njia ya kuongeza mvuto katika Ligi zao za soka wakati huu zikichezwa bila mashabiki wakimalizia msimu wa 2019/20 kwasababu ya Corona, baadhi ya mpango ni kuweka sauti za mashabiki zilizorekodiwa katika mechi zilizopita ili kuendelea kuleta hamasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako