• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Soka ya Zlatan Ibrahimovic yaweza kufikia tamati baada ya kuumia mguu mazoezini

  (GMT+08:00) 2020-05-26 08:27:48

  Mshambuliaji wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic, 38, ameripotiwa kuumia mguu (achilles tendon Injury) wakati akifanya mazoezi na timu yake ya AC Milan kwa ajili ya maandalizi ya kurejea kwa Serie A. Jeraha la Zlatan linadaiwa kuwa linaweza kuhitimisha Safari ya soka ya Zlatan kama itathibitika kaumia zaidi huku mkataba wake AC Milan ukimalizika mwisho wa msimu 2019/20 wakati wa majira ya joto. Zlatan alijiunga na AC Milan mwezi JanuarI 2020 kama mchezaji huru na kusaini mkataba wa miezi sita kuitumikia AC Milan ikimalizia msimu wa 2019/2020.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako