• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China haitabadili nia ya kutekeleza sera ya "nchi moja mifumo miwili"

    (GMT+08:00) 2020-05-27 09:36:17

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Zhao Lijiang amesema nia ya serikali ya China ya kuendelea kutekeleza sera ya "nchi moja mifumo miwili" haitabadilika, nia ya kulinda mamlaka, usalama na maslahi ya maendeleo haitabadilika, na nia ya kupinga uingiliaji wowote wa nje kwenye mambo ya Hongkong haitabadilika.

    Bw. Zhao aliyasema hayo akijibu swali kuhusu baadhi ya makundi ya wanasheria wa Hongkong kusema bunge la umma la China kutunga sheria ya usalama wa taifa kuhusu Hongkong ni kinyume cha sheria ya kimsingi ya Hongkong.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako