Takwimu kutoka kwa Kurugenzi ya Chai zinaonyesha uuzaji nje wa bidhaa hiyo kwenda Pakistan uliongezeka kwa asilimia 15, huku nazo Misri na Uingereza ukipungua kwa asilimia 10 kila mmoja.
Pakistan, ambayo ni soko kuu la chai la Kenya, lilipunguza uagizaji wake hadi kilo milioni 42 kutoka kilo milioni 49.3 katika robo iliyopita.
Misiri ilipunguza kwa kilo milioni 2.8, na Uingereza milioni 1.3.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |