• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mario Balotelli kutemwa na Brescia ya Italia

    (GMT+08:00) 2020-05-28 08:41:47

    Mshambuliaji wa Brescia ya Italia Mario Balotelli ni wazi ataondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu wa 2019/20 kutokana na kukosa mazoezi kwa siku 10. Hata hivyo Balotelli pia katofautiana na Rais wa Club Mr Massimo Cellino, Balotelli anaachwa na Brescia baada ya kuafikiana juu ya mkataba wake wa miaka 2 iliyokuwa imesalia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako