• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mwanariadha mkongwe Keino afurahia Mkutano wa Nairobi kuitwa jina lake

    (GMT+08:00) 2020-05-28 19:16:47

    Mwanariadha mkongwe nchini Kenya Kipchoge Keino amesema ni heshima kubwa kwake kwa waandaaji wa Mkutano wa Nairobi kuita shindano la ufunguzi la Mashindano ya Riadha Duniani kwa jina lake. Jumanne wiki hii, mwendeshaji wa mashindano hayo, Barnaba Korir alitangaza kuwa waandaaji hao wameita mashindano hayo Kip Kieno Classic, na yanatarajiwa kufanyika Septemba 26 mwaka huu. Mwanariadha huyo mkongwe amesema inavutia sana mtu kupewa heshima yake wakati angali hai, pia amesema atahudhuria hafla ya ufunguzi wa mbio hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako