• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Newcastle yashauriwa kumwacha kocha Pochettino na kumchukua Benitez

    (GMT+08:00) 2020-06-01 15:39:59

    Newcastke United wameshauriwa kutompa kocha Mauricio Pochettino mikoba yao ya ukocha kwa sababu hajawahi kushinda kombe lolote katika taaluma yake ya ukufunzi. Klabu hiyo iko katika hatua za mwisho za kununuliwa na matajiri wa Saudi Arabia kwa kima cha Pound milioni 300. Kukamilika kwa mchakato huo kunatarajiwa kushuhudia wamiliki wapya wa Newcastle wakimfurusha kocha Steve Bruce na kujitosa sokoni kumsaka mkufunzi mpya huku Pochettino na Rafael Benitez wakihusishwa zaidi na mikoba ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako