• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CRICKET: TImu ya cricket ya West Indies yakubali kimsingi kufanya ziara Uingereza

    (GMT+08:00) 2020-06-01 15:41:38

    Timu ya Cricket ya West Indies imekubali kimsingi kufanya ziara nchini Uingereza baada ya kufanya mkutano kwa njia ya video wiki iliyopita. Awali, mashindano hayo, ambayo ni sehemu ya Mashindano ya Ubingwa wa Dunia, yalipangwa kufanyika tarehe nne mwezi huu, lakini yaliahirishwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona. Uamuzi huo umefikiwa baada ya majadiliano ya wiki kadhaa kati ya pande hizo mbili, huku West Indies wakiwa na wasiwasi kutokana na tofauti ya hali ya maambukizi ya virusi vya Corona kati ya nchi hizo mbili, lakini Bodi ya Cricket ya Uingereza imesema hatua za kiusalama zimechukuliwa kuendana na mahitaji ya timu ya West Indies.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako