• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Russia na Marekani wafanya mazungumzo kwa njia ya simu

    (GMT+08:00) 2020-06-02 08:44:31

    Rais Vladimir Putin wa Russia na mwenzake wa Marekani Bw. Donald Trump wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu jana Jumatatu, ambapo rais Trump alimwarifu rais Putin kuhusu mpango wake wa kuwaalika viongozi wa Russia, Australia, India na Korea Kusini kuhudhuria mkutano wa kilele wa G7.

    Russia imetoa jibu kuwa nia ya kuhudhuria mkutano huo au la, inategemea nafasi yake kwenye mkutano huo, kwa hiyo itasubiri maelezo zaidi kutoka kwa upande wa Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako