• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yakamilisha upimaji wa kwanza wa nguvu ya uvutano kwenye Mlima Qomolangma kwa kutumia ndege

    (GMT+08:00) 2020-06-03 08:36:51

    China imetangaza kukamilika kwa upimaji wa kwanza wenye usahihi wa kiwango cha juu wa nguvu ya uvutano (Gravity) kwenye Mlima Qomolangma na maeneo ya karibu kwa kutumia ndege.

    Kiongozi wa mradi wa upimaji wa Mlima Qomolangma kutoka angani Bw. Chen Bin, amesema hii ni mara ya kwanza kwa China kufanya upimaji wa aina hiyo, utakaondoa pengo lililopo kwenye data zinazohusika.

    Upimaji huo ni sehemu ya mradi unaoendelea wa China wa kupima tena Mlima Qomolangma, na urefu wake wa mwisho utaamuliwa kutokana na matokeo ya vipimo mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako