• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchanganuzi wa matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China bwana Wang Yi kuhusu jinsi ya kuimarisha uhusiano kati ya China na Afrika, haswa wakati huu mgumu wa janga la virusi vya corona

    (GMT+08:00) 2020-06-03 08:58:23
    Mnamo tarehe 24 mwez Mei mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bwana Wang Yi alidokeza kwamba China inatafuta mikakati ya kuimarisha uhusiano wake na bara la Afrika haswa kwenye kipindi hiki kigumu cha mlipuko wa virusi vya corona.

    Akichanganua kauli yake Waziri Yi, mhadhiri katika chuo kikuu cha Multimedia jijini Nairobi, na mchanganuzi wa masuala ya kidiplomasia Bwana Omondi Osano, anasema kwamba hii itakuwa afueni kwa ustawi wa uchumi wa Afrika.

    Aidha, bwana Osano anapendekeza kwamba China ijaribu kuwekeza katika sekta mbali mbali, mijini na mashinani ili kuwafaa wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako