• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza kujenga mfumo imara wa afya ya umma

    (GMT+08:00) 2020-06-03 10:46:55

    Rais Xi Jinping wa China ameitisha mkutano na wataalamu na wasomi, huku akisisitiza kujenga mfumo imara wa afya ya umma, kukamilisha mfumo wa kuitikia tahadhari, kuinua kwa pande zote uwezo wa udhibiti, kinga na tiba ili kuhakikisha afya ya umma.

    Rais Xi amesema China inatakiwa kuweka kipaumbele katika kuimarisha uwezo wa kutoa tahadhari mapema, kukamilisha mfumo wa kusimamia magonjwa ya kuambukiza na matukio ya dharura ya afya ya umma, kuboresha mfumo wa usimamizi wa maradhi yanayotokana na vyanzo visivyofahamika na matukio ya afya yasiyo ya kawaida, na kuinua kiwango cha usahihi wa usimamizi na tathmini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako