• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marriott yafungua tena matawi yake yote nchini China

    (GMT+08:00) 2020-06-03 18:42:52

    Hoteli za Marriott zimefungua tena matawi yake yote nchini China huku usafiri ukianza kurejea hali ya kawaida.

    Marriott ambayo ni ya tatu kwa ukubwa duniani ina maduka 350 nchini China na inasema kiwango cha wageni kwenye hoteli hizo sasa ni asilimia 40%.

    Wiki iliyopita tarifa ya hoteli hiyo imesema athari ya kifedha kutokana na janga la corona imekuwa kubwa hata kuliko mzozo wa kifedha wa 2008.

    Mtendaji mkuu wa Marriott Arne Sorenson alisema idadi ya wageni kwenye hoteli hizo ilikuwa asilimia 7% mwishoni mwa Januari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako