• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kumbukumbu ya Bw. George Floyd yafanyika mjini Minneapolis

    (GMT+08:00) 2020-06-05 10:03:29

    Baada ya mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd kuuawa kwa kukanyagwa shingoni na polisi, maandamano makubwa wa kupinga mauaji yake yamesambaa katika zaidi ya miji 140 kote nchini Marekani. Shughuli ya kwanza ya kumwomboleza Bw. Floyd imefanyika jana mjini Minneapolis.

    Maombolezo hayo yamehudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo jamaa za Bw. Floyd, gavana wa Jimbo la Minneapolis Tim Walz, na meya wa mji wa Minneapolis Jacob Frey.

    Mei 28, Bw. Frey aliandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Floyd anastahili kupata haki. Mitaa ya wamarekani wenye asili ya Afrika inastahili kupata haki. Marafiki na familia yake wanastahili kupata haki."

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako