• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ufaransa yashuhudia vifo vingine 13 kutokana na COVID-19, idadi ambayo ni ndogo zaidi tangu Machi 10

    (GMT+08:00) 2020-06-08 09:13:21

    Mamlaka ya Afya ya Umma nchini Ufaransa imeripoti vifo vingine 13 vinavyotokana na COVID-19 katika saa 24 zilizopita, idadi ambayo ni ndogo zaidi tangu Machi 10, na kuifanya idadi ya jumla ya vifo nchini humo kufikia 29,155.

    Mamlaka hiyo pia imethibitisha maambukizi mapya 343 na kuifanya idadi ya jumla ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Ufaransa kufikia 153,977.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako