• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kutokana na UKIMWI nchini Msumbiji kwa mwaka yapungua na kufikia 51,000

    (GMT+08:00) 2020-06-10 09:13:04

    Baraza la taifa la kupambana na UKIMWI nchini Msumbiji CNCS limesema idadi ya vifo kutokana na UKIMWI kwa mwaka nchini humo inatarajiwa kupungua na kufikia 51,000, ikilinganishwa na kilele cha 76,000 cha mwaka 2006.

    Katibu mtendaji wa CNCS Bw. Franciso Mbofana amesema lengo la taasisi yake ni kupunguza kwa asilimia 25 idadi ya maambukizi ya UKIMWI kabla ya mwaka 2023.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako