• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mlipuko mpya wa virusi vya Ebola huenda umetoka kwa wanyama

    (GMT+08:00) 2020-06-10 19:27:47

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dr.Tedros Ghebreyesus amesema, mlolongo wa kijenetiki umeonyesha kuwa mlipuko mpya wa virusi vya Ebola uliotokea katika jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) hauhusiani na ule wa jimbo la North Kivu, na mlipuko wa mwaka 2018.

    Ameongeza kuwa uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha mlipuko huo, lakini huenda umetoka kwa wanyama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako