• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yaanza kusambaza barakoa bila malipo ili kupambana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-06-11 09:08:31

    Uganda imeanza kusambaza barakoa zaidi ya milioni 30 bila malipo kote nchini humo, ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazofanywa na nchi hiyo kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona.

    Makamu wa kwanza wa waziri mkuu Bw. Moses Ali alizindua zoezi hilo linalowalenga raia wote wa Uganda wenye umri zaidi ya miaka sita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako