• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bishop wa kanisa la Oasis of Grace anatoa maoni yake kuhusu kuruhusu kuanza ibada baada ya makanisa na misikiti kufunguliwa

    (GMT+08:00) 2020-06-11 10:38:27
    Siku chache tu baada ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kutangaza mpango wa serikali wa kufungua tena maeneo ya kuabudu baadhi ya viongozi wa kidini wamekuwa wakikutana kupanga jinsi ya kuwaandaa waumini wao kuzuia kuenea kwa virusi vya corona kabla ya makanisa na misikiti kufunguliwa rasmi kwa umma. Bishop wa kanisa la Oasis of Grace anatoa maoni yake kuhusu mapendekezo ya kuruhusu kuanza ibada baada ya makanisa na misikiti kufunguliwa.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako