• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa majeshi ya Marekani Mark Milley aomba radhi kwa kupiga picha na rais Trump mbele ya kanisa mjini Washington

    (GMT+08:00) 2020-06-12 09:44:41

    Mnadhimu mkuu wa jeshi la Marekani Bw. Mark Milley ameomba radhi kwa kupiga picha na rais Donald Trump wa nchi hiyo mbele ya kanisa la St. John Episcopal mjini Washington, baada ya kuwatawanya waandamanaji kwenye eneo lililo nje ya Ikulu ya Marekani.

    Akitoa hotuba kwa njia ya video kwenye mahafali ya Chuo Kikuu cha Ulinzi cha Taifa, jenerali Milley alisema hakupaswa kuonekana wakati ule. Amesema uwepo wake wakati huo na katika mazingira yale kumewafanya watu waone jeshi linajihusisha na siasa za ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako