• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa afya wa Ghana athibitishwa kuambukiziwa virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-06-15 09:56:18

    Waziri wa afya wa Ghana Bw. Kwaku Agyemang-Manu amepimwa na kuthibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona.

    Rais Nana Addo Dankwa Akufo-Addo wa nchi hiyo ametangaza habari hiyo kupitia redio, huku akimtakia waziri huyo apone haraka kutoka maambukizi hayo.

    Rais huyo pia ametangaza kifo cha meya wa mji wa Sekondi-Takoradi Bw. Kobina Sama kutokana na virusi vya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako