• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Macron wa Ufaransa atangaza hatua kadhaa za kuendelea kulegeza zuio la kupambana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-06-15 10:00:17

    Rais Macron wa Ufaransa ametoa hotuba kwa njia ya televisheni, akitangaza hatua kadhaa za kuendelea kulegeza zuio la nchi hiyo la kupambana na virusi la Corona.

    Hii ni hotuba ya nne ya televisheni kwa taifa aliyotoa Rais Macron tangu mlipuko wa COVID-19 utokee nchini Ufaransa, akisema kuanzia tarehe 15 mwezi huu, kazi ya kuzuia na kudhibiti janga la COVID-19 nchini Ufaransa itafungua ukurasa mpya.

    Rais Macron amesema kuwa Ufaransa haitaongeza viwango vya kodi, na hatua zote zinatakiwa kuchukuliwa ili kuepuka kampuni kupunguza wafanyakazi, kuongeza nafasi mpya za ajira na kujenga uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako