• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump wa Marekani asaini amri kuhusu mwenendo wa polisi

    (GMT+08:00) 2020-06-17 10:08:11

    Rais Donald Trump wa Marekani amesaini amri ya rais kuhusu utendaji wa polisi, na kutoa agizo la kuchukua hatua dhidi ya ukatili wa polisi na ubaguzi wa rangi.

    Hatua hiyo imekuja wiki tatu baada ya kifo cha George Floyd, raia mweusi wa Marekani wenye umri wa miaka 46, ambacho kimesababisha maandamano nchini kote.

    Amri hiyo imezingatia maeneo matatu: kuhakiki sifa za maofisa wa polisi; kuongeza upashanaji wa habari ili kufuatilia maofisa wanaoshukiwa kwa matumizi onyo ya nguvu; na kuzindua mipango ya kukabiliana na watu wenye afya ya akili, waliotumia dawa za kulevya, na waliopoteza makazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako