• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia ilivunja majaribio 43 ya shughuli za kigaidi mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2020-06-18 08:37:30

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Russia Igor Krasnov alisema jana mjini Moscow kuwa Russia ilifanikiwa kuvunja majaribio 43 ya shughuli za kigaidi kwenye maeneo 24 ya nchi hiyo mwaka jana, ambayo idadi yake iliongezeka kwa asilimia 38 kuliko mwaka 2018.

    Bw. Krasnov amesema hivi sasa Russia inakabiliwa na tishio kubwa la ugaidi, na katika siku zijazo inatakiwa kuimarisha hatua za kupambana na ugaidi kabla ya matukio ya kigaidi kutokea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako