• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gazeti la Daily Nation la Kenya lahimizwa kuomba msamaha kwa kutoa habari zisizo sahihi kuhusu Wachina

    (GMT+08:00) 2020-06-19 21:03:37

    Serikali ya Kenya imelilaumu gazeti la Daily Nation la nchi hiyo kwa kutoa habari zisizo sahihi kuhusu Wachina walioko nchini humo.

    Toleo la tarehe 17 la gazeti hilo lilitoa bahari inayosema, Wachina 200 wameondoka nchini Kenya kutokana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona. Ofisa mwandamizi wa habari wa wizara ya mambo ya nje ya Kenya Jane Kariuki amesema habari hizo hazina msingi wowote, hivyo gazeti hilo linapaswa kuomba msamaha.

    Ubalozi wa China nchini Kenya na Shirika la Ndege la China Southern pia zimetoa taarifa ya kusema habari hizo sio kweli.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako