• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hali ya maambukizi ya virusi vya Corona ya mji wa Beijing yaonesha mwelekeo mzuri

    (GMT+08:00) 2020-06-22 19:26:12

    Msemaji wa Serikali ya mji wa Beijing Bw. Xu Hejian amesema hali ya maambukizi ya virusi vya Corona katika mji huo kwa sasa inaonyesha mwelekeo mzuri.

    Bw. Xu amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu kinga na udhibiti wa maambukizi ya virusi vya Corona mjini Beijing.

    Pia amesisitiza kuwa inapaswa kutambua vizuri kwamba Beijing, ukiwa mji mkuu wa China, unakabiliwa na changamoto kubwa za kinga na udhibiti wa janga hili. Amesema inapaswa kuhamasisha nguvu za pande zote, kufuatilia kwa makini sehemu zote muhimu zikiwemo masoko ya mazao ya kilimo, maduka makubwa, migahawa, viwanda vya chakula, hospitali, na vituo vya utoaji wa huduma za afya vya mitaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako