• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanausalama 23 wanaojitolea wauawa kaskazini magharibi mwa Nigeria

    (GMT+08:00) 2020-06-23 08:42:12

    Polisi nchini Nigeria wamesema wanausalama wasiopungua 23 wanaojitolea wameuawa baada ya watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa ni majambazi kushambulia kijiji kimoja kwenye eneo la Maru, katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo kati ya Jumamosi na Jumapili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako