• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MIELEKA: Nguli wa WWE, The Undertaker astaafu baada ya karne tatu ulingoni

    (GMT+08:00) 2020-06-23 15:31:54

    Nyota wa mchezo wa mieleka WWE, Mark Calaway maarufu kama The Undertaker ametangaza kustaafu kwake baada ya kudai kuwa hana lengo lingine la kutimiza katika mchezo huo. Nguli huyo mwenye miaka 55, alitoa tangazo hilo baada ya kipindi cha mwisho cha mchezo huo cha The Last Ride siku ya Jumapili, Juni 21. The Undertaker amekuwa akicheza michezo ya miereka kwa miaka na mikaka sasa baada ya kujiunga na WWF kwa mara ya kwanza mwaka 1990. Ameshinda kila mashindano huku akiandikisha historia katika kipindi cha Wrestlemania ambacho kilimalizika hivi karibuni. Kigogo huyo alisema anaweza tu kurejea katika mchezo huo wakati wa jambo la dharura na endapo Vince McMahon atakuwa uwanjani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako