• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AfDB kuiunga mkono Msumbiji katika mwitikio wake dhidi ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-06-24 08:38:13

    Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika nchini Msumbiji Bw. Pietro Toigo jana Jumanne mjini Maputo alitangaza kuwa benki hiyo itatoa fedha na uungaji mkono kwa mfumo wa afya wa nchi hiyo, ili kujenga maabara zaidi zenye uwezo wa kufanya vipimo vya COVID-19.

    Bw. Toigo amesema hatua hiyo ni sehemu ya msaada wa dola za kimarekani bilioni 7.4 unaotolewa na benki hiyo kwa nchi za Afrika ili kuziunga mkono katika mwitikio dhidi ya janga la COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako