• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia iko tayari kuanzisha mfumo wa usalama wa dunia

    (GMT+08:00) 2020-06-24 18:33:05

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo na ushirikiano katika masuala motomoto likiwemo kuanzisha mfumo wa kutegemewa wa usalama unaohitajika katika dunia inayobadilika kwa kasi.

    Rais Putin amesema, anafahamu umuhimu wa kuimarisha urafiki na kuongeza imani kati ya watu, na kuongeza kuwa mshikamano ni njia pekee sahihi ya kukabiliana na matishio mapya kwa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako