• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi 170 zaunga mkono mwito wa UM kusitisha vita kwenye kipindi cha COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-06-25 08:36:22

    Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, nchi waangalizi na nyingine, zilitoa ishara kubwa ya kisiasa wiki hii kufuatia tangazo kuwa nchi 170 zimeunga mkono mwito uliotolewa na Umoja wa Mataifa kusitisha mapambano, na kusimama pamoja dhidi ya changamoto ya COVID-19 inayoikabili dunia nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako