• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo ya kwanza yafanyika mjini Wuhan tangu kulipuka kwa COVID-19

     

    (GMT+08:00) 2020-06-26 08:49:06
    Michezo ya kwanza imefanyika mjini Wuhan tangu virusi vya Corona kulipuka katika mji huo ulioko katikati mwa China. Wachezaji 234 wakiwemo, wanajeshi, polisi, wafanyakazi wa mitaa, wasafirisha vifurushi, wahandisi, na wajenzi wa majengo wameshiriki kwenye michezo hiyo ya mpira wa meza iitwayo "kutoa heshima kwa mashujaa". Hivi sasa zaidi ya asilimia 70 ya kumbi za michezo za nje mjini Wuhan zimefunguliwa.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako