• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jordan yalaani uamuzi wa Israeli kufunga lifti katika mji mkongwe wa Jerusalem

    (GMT+08:00) 2020-06-29 09:15:27

    Jordan imelaani uamuzi wa Israeli wa kufunga lifti moja ya kuunganisha mji mkongwe wa Jerusalem na Ukuta wa Buraq, maarufu kwa jina la Ukuta wa Magharibi, ambao ni sehemu tukufu ya dini ya kiyahudi.

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Jordan Daifallah Fayez amesema, mradi huo utabadili sura halisi na ya kiarabu ya mji mkongwe wa Jerusalem, pia ni kinyume cha sheria ya kimataifa na maamuzi yaliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako