• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yampongeza Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Malawi

    (GMT+08:00) 2020-06-29 19:46:41

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Zhao Lijian leo amesema, China inampongeza Bw. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Malawi, na kupenda kushirikiana na serikali mpya ya Malawi na wadau mbalimbali wa nchi hiyo kuhimiza uhusiano kati ya nchi hizo kuendelea zaidi.

    Tarehe 27, Juni, tume ya uchaguzi ya Malawi ilitangaza kuwa kiongozi wa Chama cha Congress cha Malawi CMP Lazarus Chakwera ameshinda katika uchaguzi kwa kupata asilimia 59 ya kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako