• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya yapoteza dola milioni 800 za utalii kutokana na janga la Corona

  (GMT+08:00) 2020-06-30 09:16:14

  Waziri wa Utalii na Wanyamapori wa Kenya Najib Balala ametoa wito wa kuwepo na mikakati mipya ya kuvutia watalii wa nje na wa kikanda wakati huu dunia inapokabiliwa na mlipuko wa virusi vya Corona.

  Amesema kuendelea kutegemea nchi za magharibi kutakuwa na athari hasi, na badala yake amezitaka nchi za Afrika kufungua mipaka yao na kuwekeza kwenye miundo mbinu ya usafiri ili kusaidia usafiri wa watu barani humo kwa urahisi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako