• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Toleo la tatu la kitabu cha "Xi Jinping: Utawala wa China" lachapishwa

  (GMT+08:00) 2020-06-30 10:29:22

  Toleo la tatu la kitabu cha "Xi Jinping: Utawala wa China" limechapishwa na Shirika la Uchapishaji la Lugha za Kigeni kwa lugha za Kichina na Kiingereza, na kitapatikana ndani na nje ya nchi.

  Toleo hilo jipya lilichochapishwa lina Makala 92, ikiwa ni pamoja na hotuba, mazungumzo, maagizo na barua zilizotolewa na rais Xi ambaye ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, kati ya Oktoba 18, 2017 na Januari 13, 2020.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako