• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kibarua cha kocha Albert Celades wa Valencia chaota mbawa

  (GMT+08:00) 2020-06-30 16:37:47

  Klabu ya Valencia ya Hispania imeamua kumfuta kazi kocha wao Albert Celades , 44, baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo mabovu. Valencia imepata ushindi mechi mbili kati ya 13 zilizopita za mashindano yote sambamba na kutolewa UEFA Champions League hatua ya 16 bora dhidi ya Atalanta.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako