• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mbunge wa juu wa China asisitiza kulinda usalama wa taifa na utaratibu wa katiba mkoani Hong Kong

  (GMT+08:00) 2020-06-30 18:59:28

  Mbunge wa juu wa China leo amesisitiza juhudi thabiti na zenye ufanisi katika kulinda usalama wa taifa na utaratibu wa katiba pamoja na utaratibu wa utawala wa sheria katika mkoa wa utawala maalumu wa Hong Kong.

  Akiongea kwenye ufungaji wa kikao cha 20 Bw. Li Zhanshu, ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la 13 la Umma la China NPC amesema utaribu wa "Nchi Moja, Mifumo Miwili" unapaswa kuongozwa kwenye mwelekeo sahihi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako